1. Mchumia juani,hulia ..............
kivulini
shambani
kwake
nyumbani
2. Mtaka cha mvunguni .............
sharti ainamilie
shati ainame
sharti ainuke
sharti ainame
3. Kamilisha methali;
Ajizi___
mle
ajuza
nyumba ya njaa
nyumba ya faraja
4. Kamilisha methali;
Mtegemea cha duguye
hufaulu
hufa maskini
huushi milele
hupata yote
5. Kamilisha methali;
Mchagua jembe__
hulima vyema
si mkulima
hajui kulima
hupata nzuri
6. Kamilisha methali;
Ukuina vyaelea,___
jua vimeundwa
vimeng'aa sana
chunga sana
sio vyako
7. Kamilisha methali
Ahadi ni
ahidi
hutimizwa
njema
deni
8. Kamilisha methali
Atafutaye___
hachoki
hukosa
huchoka sana
hupata
9. Kamilisha methali;
Mchumia juani___
hujaza kikapu
huchumia pia kivulini
hulia kivulini
hupumzika
10. Kamilisha methali;
Mgaagaa na upwa____
hulia kivulini
hula mbichi
hali wali mkavu
hula mbivu
11. Kamilisha methali;
Mtaka cha mvunguni___
hupata cha juu
sharti aketi
Sharti ainame
hawezi pata
12. Kamilisha methali
Mpanda ovyo
hula ovyo
hupata vyote
huvuna mbichi
huvuna mbivu
13. Kamilisha methali:
Atanguliaye kisimani___
hunywa maji mengi
ni mqenye bidii
hunywa maji maenge
hupata maji mengi
14. Kamilisha methali;
Tahadhali kabla ya ___
adhari
tahadhari
hatari
kuenda
15. Kamilisha methali;
Achanikaye kwenye mpini
hulia kuvulini
hufa njaa
hafi njaa
hutia bidii
16. Kamilisha methali;
Kweda bure
hurudi bure
ni mzururaji
Hawezo kaa bure
si kukaa bure
17. Kamilisha methali;
Chanda chema___
huvikwa pete
ni kizuri
ni cha kati ni cha kwanza
ni kifupi
18. Kamilisha methali;
Atangaye sana na jua
hulia kivulini
hula mbivu
hujua
hafi maskini
19. Kamilisha methali;
Baada ya dhiki ___
faraja
hufa maskini
hula mbivu
mavuno
20. Kamilisha methali;
Kupanda mchongoma
ni kazi ngumu
huanguka
kushuka ndio ngoma
kuchuma ngoma
21. Kamilisha methali;
Biashara__
jioni
asubuhi
ni nzuri
mchana
22. Kamilisha methali;
Haba na haba
ni nzuri
ni kidogo kidogo
hujaza kibaba
hababui
23. Kamilisha methali;
Chelewa Chelewa___
utampata mwana zi wako
ni tambia mbaya
hutafika
utapigwa faini
24. Kamilisha methali;
Usipoziba ufa, __
utajenga ukuta
hakuna wa kujenga
utabomokewa
utabomoka