Grade 1 Kiswahili – Vifaa tofauti Quiz

1. Mahali wanafunzi husoma panaitwa

nyumbani
barabarani
msalani
darasani
Explanation:

2. Mtu ambaye anafunza huitwa

mwalimu
mfunzi
Mzazi
mwanafunzi
Explanation:

3. Ni kitu gani hakipatikani darasani

Ubao
Kitanda
Chaki
Kitabu
Explanation:

4. Dawati linapatikana wapi

Darasani
Barabarani
Msalani
Nyumbani
Explanation:

5. Wanafunzi huandika vitabuni kutumia

chaki
dawati
makaa
kalamu
Explanation:

6. Ni kitu gani ambacho hakipatikani darasani

kengele
kifutio
rula
sufuria
Explanation:

7. Wanafunzi hukalia na kuwekelea vitabu kwenye

meza
kiti
dawati
ubao
Explanation:

8. Mwalimu hutumia chaki kuandikia

ubao
sakafu
kitabu
saa
Explanation:

9. Mwalimu hufuta maandishi kutoka ubaini akitumia

chaki
dawati
katatasi
kifutio
Explanation:

10. Darasani kuna walimu na

watoto
wazazi
waimbaji
wanafunzi
Explanation:

11. Jicho ni

sehemu ya mwili
jufaa cha sebuleni
kifaa cha darasani
sehemu ya mguu
Explanation:

12. Tunatumia mdomo ___

kutembea
kunusa
kuona
kuongea
Explanation:

13. Ni IPI so sehemu ya mwili?

tumbo
goti
Dawati
mguu
Explanation:

14. Got I ni sehemu ya mwi iliyokati ya mguu na___

kidole
mkono
shingo
paja
Explanation:

15. Tunatumia ___ kunusa

jicho
sikio
pua
mdimo
Explanation:

16. Tunatumia___ kusikia

pua
goti
sikio
mdomo
Explanation:

17. Mtu ana macho mangapi

2
5
4
3
Explanation:

18. Wingi wa pua ni

mipua
pua
vipua
mapua
Explanation:

19. Wingi wa mguu ni

guu
viguu
miguu
maguu
Explanation:

20. Wingi wa nywele ni

vinywele
mnywele
nywele
manywele
Explanation:

21. Tunatumia maji na ___ kuogea

chumvi
sabuni
jivu
mchanga
Explanation:

22. Tunatumia ___ kuoga meno

vidole
mswaki
kijiko
mikono
Explanation:

23. Tunajifunika __ mwilini tukienda bafuni

kichana
kofia
taulo
nguo
Explanation:

24. Tunatumia___ kuchana nnyele

kichana
mikono
vijiti
leso
Explanation:

25. Ili use safi, unafaa kuonga

siku mojs kwa wiki
ulienda shuleni
jumapili
kila siku
Explanation:

26. Ni gani ambalo si tunda

Unga
Chungwa
Parachichi
Nanasi
Explanation:

27. Tikiti maji ni aina ya

chakula
kifaa cha usafi
Samaki
Tunda
Explanation:

28. Gani sio tunda

parachichi
tufaha
papai
viazi
Explanation:

29. Tukila matunda tunapata

shibe
afya njema
magonjwa
njaa
Explanation:

30. Ni vyema kula matunda kila

jumapili
siku
unapohitaji
mwaka
Explanation:

31. Sima ni aina ya

chakula
mboga
matunda
viazi
Explanation:

32. Sima huliwa kwa

matunda
Wali
chai
mboga
Explanation:

33. Tunaposiaga mahindi tunapata

unga
wali
viazi
mchele
Explanation:

34. Mahindi yakichanganywa na maharagwe kisha yapikwe tunapata chakula gani?

ugali
githeri
wali
mchele
Explanation:

35. Mayai ni aina ya

matunda
chakula
wali
maharagwe
Explanation:

36. Nini hutumika kufungia mlango?

Chumvi
Manjano
Mkarafuu
Mwenge
Explanation:

Mwenge hutumika kufungia mlango kwa kuwasha na kusafisha njia ya nyumbani.

37. Chombo gani hutumika kupika chakula?

Chupi
Sufuria
Shanga
Kanga
Explanation:

Sufuria hutumika kupikia chakula na kuhifadhia vyakula pia.

38. Nini hutumika kufanyia usafi?

Barafu
Sabuni
Gari
Muguka
Explanation:

Sabuni hutumika kufanyia usafi wa mwili, vyombo na nyumba kwa ujumla.

39. Kifaa gani hutumika kufanyia kazi za sanaa?

Penseli
Bariri
Gari
Kamba
Explanation:

Penseli hutumika kufanyia kazi za sanaa kama vile kuchora na kupaka rangi.

40. Nini hutumika kusikiliza muziki?

Sofa
Redio
Kito
Nundu
Explanation:

Redio hutumika kusikiliza matangazo, muziki na vipindi mbalimbali vya redio.

41. Kifaa gani hutumika kuendeshea gari?

Kinyozi
Kalamu
Breki
Makaaaa
Explanation:

Breki hutumika kuacha gari na kusimamisha mwendo wa gari.

42. Kitu gani hutumika kufunika kitanda?

Uji
Shuka
Taulo
Sukari
Explanation:

Shuka hutumika kufunika kitanda na kuweka joto wakati wa kulala.

43. Chombo gani hutumika kuchemsha maji?

Kinyesi
Pipa
Mshumaa
Kettle
Explanation:

Kettle hutumika kuchemsha maji kwa ajili ya vinywaji vya moto kama chai au kahawa.

44. Nini hutumika kuzimia moto?

Koti
Kasha
Moto
Kinyago
Explanation:

Kasha au kifaa cha kuzimia moto hutumika kuzima moto kwa urahisi na salama.

45. Chombo gani hutumika kukusanyia maji?

Baiskeli
Kitanda
Kikombe
Bakuli
Explanation:

Bakuli hutumika kukusanyia maji ama kumwagia mtu maji kwa ajili ya kunywa.