Grade 6 Kiswahili – Vivumishi Vimilikishi Quiz

1. Aina ya kivumishi ambavyo huonyesha kuwa na au kumiliki kitu huitwaje?

Vivumishi vya sifa
Vivumishi vielezi
Vivumishi mimilikishi
Vivumishi viulizi
Explanation:

2. Tambua kivumishi kimilikishi

Refu
Kile
Huyu
Changu
Explanation:

3. Tambua kivumishi kimilikishi

Ile
Hawa
Hiyo
Yangu
Explanation:

4. Tambua kivumishi kimilikishi katika sentensi hii; Ng'ombe wake alichinjwa jana

Ng'ombe
Wake
Jana
Alichinjwa
Explanation:

5. Andika wingi wa sentensi hii Nguo yake ni rembo

Nguo lake ni rembo
Nguo zao ni rembo
Nguo zake ni rembo
Nguo lake ni zirembo
Explanation:

6. Tumia kimilikishi kifaacho(ake) Jino__ linauma

Zake
Zao
Lake
Yake
Explanation:

7. Tumia kimilikishi kifaacho;(etu? Sembuleni _,,pana wageni

Zetu
Pwetu
Petu
Yetu
Explanation:

8. Andika kwa wingi Kiatu chake

Kiatu vyetu
Viatu vyao
Viayu vyao
Viatu hivyo
Explanation: