Grade 6 Kiswahili – Kaili Ya Kutendeana, Kutendesha Na Kutendua Quiz

1. Andika katika kauli ya kutendeana;salimia

Salimisha
Salimiashana
Salimshia
Salimiana
Explanation:

2. Andika katika kauli ya kutendua;Panga

Pagulia
Pangusha
Pangia
Pangua
Explanation:

3. Andika katika kauli ya kutendesha; soma

Somisha
Somesha
Simeshana
Shomeshana
Explanation:

4. Andika katika kauli ya kutendea; lia

Liliana
Lisha
Lilia
Lilisha
Explanation:

5. Andika katika hali ya kutedesha; enda

Endesha
Endea
Endesheka
Endeka
Explanation:

6. Andika katika hali ya kutendua; paka

Pakiua
Pakea
Pakuta
Pakua
Explanation:

7. Andika katika hali ya kutedesha; Ng'ara

Ng'arakisha
Ng'arasha
Ng'arika
Ng'arisha
Explanation:

8. Andika katika hali ya kutendeana: Andika

Andikana
Andikiana
Andikishiana
Andikishiana
Explanation:

9. Tambua kitenzi kilivho katika hali ya kutendua

Paka
Endesha
Pima
Pangua
Explanation:

10. Andika katika kinyume cha kitenzi; Mama alipanga nyumba

Mama alipangika nyumba
Mama alipangisha nyumba
Mama alipangua nyumba
Mama alipangusha nyumba
Explanation:

11. Jaza pengo Harakati za kutetea hakiza watoto ulipi___ 2015

tisha
ta
tishwa
tika
Explanation:

12. Jaza pengo; Watoto wanapaswa ku__ vizuri

lilishwa
lishwa
liwa
lizwa
Explanation:

13. Jaza pengo; Tunda lililooza halifai___

Kulishwa
Kulwa
Kulizwa
Kuliwa
Explanation:

14. Andika Karina kauli ya kutendeka Wazazi wanalazimi_ kuwaleta watoto shuleni

sha
kika
ka
shwa
Explanation:

15. Jaza pengo. Uhasama hutole___watu wakipendana

Wa
Shwa
Zwa
Wa
Explanation:

16. Tabia mbaya huchuki___ wazazi

Sa
Za
Sha
Zana
Explanation:

17. Nyambua kitenI katika hali ya kutendesha; kelele

keleasha
keleza
keleleza
kelelesha
Explanation:

18. Kamau ni dereva wa gari, kamau ana____gari

endesha
derevesha
endleleza
endeza
Explanation:

19. Hutu ni mwalimu wetu. Yeye hutu____ kiswahili.

fundiza
funza
funsha
fundisha
Explanation:

20. Mimi nili__ (fua) mama ngua. (hali ya kutendea)

fulisha
fuliza
fulia
fuia
Explanation:

21. Mama aliniandikia barua, nami nikamwandikia. Mimi na mama tuli_____barua

andika
andikisha
andikiana
andikika
Explanation:

22. Jaza pengo ukinyambua kitenxi katika hali ya kutendesha: Rafiki yangu alini ____ (tembea) kweznye bunga la wanyama

tembeza
tembelea
tembesha
tembezea
Explanation:

23. Jaza pengo ukinyambua kitenxi katika hali ya kutendesha:Pomne aliyokunya ndiyo ili___ (lewa)

levya
lesha
lewesha
leweza
Explanation:

24. Jaza pengo ukinyambua kitenxi katika hali ya kutendua: Yeye ndiye aliye____(ficha) siri

fichusha
fichika
fuchua
fichua
Explanation:

25. Jaza pengo ukinyambua kitenxi katika hali ya kutendeana: Alini___ (piga) simu baada ya Massa mawili

pigia
pigua
pigishia
pigisha
Explanation:

26. Ni nini kaimu ya tende la neno ‘kutendea’?

Kutendua
Kutendesha
Kutendana
Kutendewa
Explanation:

27. Kaimu ya tende la neno ‘kuisaidia’ ni ipi?

Kutendewa
Kutendesha
Kutendua
Kutendeana
Explanation:

28. Wengine wanaweza kuhisi vibaya iwapo mtu anawakandamiza. Kaimu ya neno ‘kuwakandamiza’ ni ipi?

Kutendesha
Kutendeana
Kutendua
Kutendewa
Explanation:

29. Kaimu ya tende la neno ‘kusaidiana’ ni ipi?

Kutendesha
Kutendewa
Kutendua
Kutendeana
Explanation:

30. Ni nini maana ya kaimu ya tende ya neno ‘kujipumzisha’?

Kutendesha
Kutendewa
Kutendeana
Kutendua
Explanation:

31. Ni tende gani inayomaanisha kushindana au kugombana na watu wengine?

Kutendesha
Kutendewa
Kutendeana
Kutendua
Explanation:

Tende inayomaanisha kushindana au kugombana na watu wengine ni ‘kutendua’ ambayo inaonyesha vitendo vya kuchukiana au kushindana.

32. Chagua neno sahihi linalohusiana na kitenzi 'kutendua'

Kutenda kazi
Kutenda
Kutendana
Kutengeneza
Explanation:

Kutendua linahusisha vitendo vya kufanya kazi au kutekeleza majukumu fulani.

33. Ni kitendo kipi kinacholingana na kutendesha?

Kusoma vitabu
Kukaa kimya
Kula chakula
Kufanya jambo pamoja
Explanation:

Kutendesha inamaanisha kufanya vitendo vyenye kuhusiana au kufanywa pamoja.

34. Chagua sentensi inayoweza kuwa sahihi kulingana na mada ya kutendesha.

Walitembea peke yao
Watoto walikutana shuleni
Kaka alisoma peke yake
Walicheza mpira kwa pamoja
Explanation:

Sentensi hii inaonyesha vitendo vinavyofanyika pamoja kama inavyoeleza mada ya kutendesha.

35. Chagua neno linalohusiana na kutendesha kuliko mengine.

Kutembea
Kupanga
Kufanya kazi pamoja
Kupika
Explanation:

Kufanya kazi pamoja inafanana zaidi na maana ya kutendesha kuliko vitendo vingine.

36. Chagua neno sahihi linalohusiana na kitenzi 'kutendua'

Kutenda kazi
Kutenda
Kutendana
Kutengeneza
Explanation:

Kutendua linahusisha vitendo vya kufanya kazi au kutekeleza majukumu fulani.

37. Ni kitendo kipi kinacholingana na kutendesha?

Kufanya jambo pamoja
Kusoma vitabu
Kula chakula
Kukaa kimya
Explanation:

Kutendesha inamaanisha kufanya vitendo vyenye kuhusiana au kufanywa pamoja.

38. Chagua sentensi inayoweza kuwa sahihi kulingana na mada ya kutendesha.

Walitembea peke yao
Kaka alisoma peke yake
Watoto walikutana shuleni
Walicheza mpira kwa pamoja
Explanation:

Sentensi hii inaonyesha vitendo vinavyofanyika pamoja kama inavyoeleza mada ya kutendesha.

39. Chagua neno linalohusiana na kutendesha kuliko mengine.

Kupanga
Kutembea
Kupika
Kufanya kazi pamoja
Explanation:

Kufanya kazi pamoja inafanana zaidi na maana ya kutendesha kuliko vitendo vingine.