Grade 6 Kiswahili – Nahau Za Kazi Na Ushirikiano Quiz

1. Maneno yenye maana fiche huitwaje?

Nahau/misemo
Visawe
Vitanza ndimi
Vitawe
Explanation:

2. Mini maana ya piga jeki?

Fanya kazi kwa bidii
Chapa jeki
Saidia
Kujitolea
Explanation:

3. Chagua nahau iliyo na maana moja na piga jeki

Chapa kazi
Shika mkono
Change bia
Tia bidii
Explanation:

4. Maana ya kuchanga via ni___

Changisha pesa
Apana pesa
Tafuta pesa
Shirikiana katika jambo
Explanation:

5. Eleza maana ya kujifungua nira

Kujiyoa mzigo
Kujitahidi katika jambo
Kujitolea
Kujifungua minyororo
Explanation:

6. Ni nahau gani inaweza kutumika katika sentensi hii ili kudumisha maana take? Rhoda alijikaza kisabuni hadi akapita mtihani

Chapa kazi
Tia bidii
Piga jeki
Changa bia
Explanation:

7. Wanafunzi waliamua kuchanga via katika masomo ili wawwze kufauli; fafanua

Wanafunzi walipiga jwki masomo
Wanafunzi walishirikiana masomoni
Wanafunzi walichangisha pesa ya karo
Wanafunzi walishika masomo mkono
Explanation:

8. Mwalimu alimshika Maria mkono had I akafaulu; fafanua

Mwalimu alimsaidia Maria kwa masomo yake
Mwalimu alitia biddii katika masomobya maria
Mwalimu alipiga maria jeki katika masomo
Mwalimu alichanga bia ndio maria akafaulu
Explanation:

9. Chagua nahau yenye maana sawa na kujifungua nira;

Piga jeki
Shika mkono
Chapa kazi
Changa bia
Explanation:

10. Baba alichapa kazivhadi akapandishwa cheo? Baba alifanya nini___

Shika kazi mkono
Piga jeki
Fanya kazi kwa bidii
Changa bia
Explanation:

11. Eleza maana ya nahau; Acha mkono

Kufa moyo
Fariki
Acha mkoba
Enda zako
Explanation:

12. Eleza maana ya nahau; Via macho

Kondoa macho
Kuwa kipofu
Vaa miwani
Tazama kwa makini
Explanation:

13. Eleza maana ya nahau; Vunja mbavu

Chekesha
Kuua
Kosana
Piga
Explanation:

14. Eleza maana ya nahau; Vuta pumzi

Vita hewa
Vuta hewa
Nusa hewani
Pata mapumziko
Explanation:

15. Eleza maana ya nahau; Tumbo moto

Madhara
Chomeka tumbo
Kata kauli
Wasiwasi
Explanation:

16. Eleza maana ya nahau Piga darubini

chapa darubini
kata kauli
jenga darubini
Fanya uchunguzi
Explanation:

17. Eleza maana ya nahau Piga hatua

kata kamba
endelea
baki vilevile
chapa hatua na mtu
Explanation:

18. Eleza maana ya nahau Piga moyo konde

Liwaza
kukonda moyo
Fanya moyo kuwa mkonde
kupiga chafya
Explanation:

19. Eleza maana ya nahau Kata kamba

Gawa kamba mara kadhaa
katisha kamba vipande viwili
aga dunia
uza kamba
Explanation:

20. Eleza maana ya nahau; pigwa kalamu

futwa kazi
pewa kalamu
chorwa
ajiriwa
Explanation:

21. Eleza maana ya nahau; Kandaa meza

tengeneza meza
tayarisha chakula
osha meza
tandika meza
Explanation:

22. Eleza maana ya msemo ; Pua na mdomo

karibu
ona vizuri
uso
mrembo
Explanation:

23. Eleza maana ya msemo ; Kiguu na njia

mguu na njia
kutotulia
urefu
utulizu
Explanation:

24. Eleza maana ya msemo ; Mkono wa mbirika

mchoyo
mkono mnono
mkono uliifunguka
mkono mfupi
Explanation:

25. Eleza maana ya msemo ; Shingo upande

bila kupenda
kwa pupa
kwa haraka
angalia vyema
Explanation:

26. Ni vipi mwalimu mmoja anavyotoa majukumu kwa wanafunzi?

Kwa kufanya kazi kwa upande wa pili
Kwa kufanya kazi yeye mwenyewe
Kwa uaminifu na upeo wa juu
Kwa kutotoa majukumu kabisa
Explanation:

Mwalimu mmoja anavyotoa majukumu kwa wanafunzi kwa uaminifu na upeo wa juu ni mfano wa Nahau ya kazi na ushirikiano.

27. Ni vipi wanafunzi wanavyowajibika katika kutekeleza majukumu yao shuleni?

Kwa kusaidiana na wenzao
Kwa kutegemea wengine
Kwa kufanya mambo kiholela
Kwa kujua majukumu yao tu
Explanation:

Wanafunzi wanavyowajibika katika kutekeleza majukumu yao shuleni kwa kusaidiana na wenzao ni mfano wa Nahau ya kazi na ushirikiano.

28. Ni jambo gani linaloweza kutokea kama kila mwanafunzi atatekeleza majukumu yake vizuri shuleni?

Matokeo mabaya
Matokeo mazuri
Matokeo yasiyopimika
Matokeo yasiyowakilisha chochote
Explanation:

Kama kila mwanafunzi atatekeleza majukumu yake vizuri shuleni, matokeo yatakuwa mazuri na yenye tija kwa wanafunzi wote.

29. Ni kitu gani kinachosababisha kazi zifanyike kwa ufanisi shuleni?

Kufanya mambo kwa mazoea tu
Kutokuwa na ushirikiano
Kuwajibika kwa kila mwanafunzi
Kutokuwa na mipango
Explanation:

Kuwajibika kwa kila mwanafunzi ndio kinachosababisha kazi zifanyike kwa ufanisi shuleni na kuongeza tija kwa wanafunzi wote.

30. Ni jambo gani la msingi katika kufanikisha malengo ya kila mwanafunzi shuleni?

Kufuata sheria kiholela
Kufanya kazi kwa kujitenga na wenzao
Kushirikiana na wenzao
Kutokuwa na malengo kabisa
Explanation:

Kushirikiana na wenzao ni jambo la msingi katika kufanikisha malengo ya kila mwanafunzi shuleni kwa kuwezesha kufikia matokeo mazuri zaidi.

31. Nahau za kazi ni zipi kati ya zifuatazo?

Nahau ya Kutenda, Nahau ya Kuwa, Nahau ya Kuja
Nahau ya Matumizi, Nahau ya Utungaji, Nahau ya Majina
Nahau ya Kishada, Nahau ya Kanuni, Nahau ya Mchanganyiko
Nahau ya Nafsi, Nahau ya Tendo, Nahau ya Mali
Explanation:

Nahau za kazi ni pamoja na Nahau ya Kutenda, Nahau ya Kuja, na Nahau ya Kuwa.

32. Nahau ya kazi inajulisha nini?

Nahau ya mchanganyiko kufundishwa
Nafsi ya kitendaji kufahamika
Jina la kitu kinachotendwa na kiima
Kitenzi kinachofanya kazi kutafitiwa
Explanation:

Nahau ya kazi inajulisha kazi inayoendelezwa na kitenzi.

33. Nahau za kazi hutumika vipi katika sentensi?

Kutaja wakati wa tendo, kufupisha sentensi, kuinua maudhui
Kuwaelekeza wengine, kushirikisha wasikilizaji, kusisitiza uhusiano, kuweka kiima kabla ya kitendaji
Kuelezea eneo la tendo, kufafanua kwa undani, kuongeza matamshi, kubainisha kitendaji
Kuonyesha mtendaji, kuelezea furaha au huzuni, kufanya tendo kuwa la lazima
Explanation:

Nahau za kazi hutumika katika sentensi kwa kuelezea eneo la tendo, kufafanua kwa undani, kuongeza matamshi, na kubainisha kitendaji.

34. Kazi ya Nahau za ushirikiano ni ipi kati ya zilizotajwa?

Nahau ya kutendewa, Nahau ya kutendea, Nahau ya kufanyiana
Kusisitiza, kuthibitisha, kuegemea
Kuuweka mjumbe mbele, kuweka mjumbe nyuma, kufupisha maneno
Kuelekeza, kujibu, kuthibitisha
Explanation:

Kazi ya Nahau za ushirikiano ni kuuweka mjumbe mbele, kuweka mjumbe nyuma, na kufupisha maneno katika sentensi.

35. Kufupisha maneno kunaweza kufanyika pia kwa Nahau za kazi?

Sio kweli
Hutumiki
Inadaiwa
Ni kweli
Explanation:

Kufupisha maneno kunaweza kufanyika pia kwa Nahau za kazi kulingana na muktadha wa sentensi.