Grade 6 Kiswahili – Vivumishi Vya Sifa Quiz

1. Maneno yanayotoa maelezo zaidi kuhusu nomino huitwaje?

Vielezi
Vivumishi
Viashiria
Vielezi vya nomino
Explanation:

2. Aina ya vivumishi ambavyo hueleza sifa tofauti kuhusu nomino huitwaje?

Kivumishi viashiria
Kivumishi vya idadi
Kivumishi vielezi
Vivumishi vya sifa
Explanation:

3. Gani kati ya maneno haya ni kivumishi cha sifa?

Nyingi
Mimi
Yeye
Ndefu
Explanation:

4. Kiatu kichafu kitaoshwa kesho

Kesho
Kiatu
Kichafu
Changu
Explanation:

5. Chagua kivumishi cha sifa

Yule
Njema
Yangu
Nyingi
Explanation:

6. Tambua kivumishi katika sentensi; Watoto wazuri ni wenye adabu

Watoto
Adabu
Wazuri
Ni
Explanation:

7. Tambua kivumishi katika sentensi; Kalamu nyekundu ni ya mwalimu

Mwalimu
Ni
Kalamu
Nyekundu
Explanation:

8. Tambua kivumishi katika sentensi; Kuku mweupe atachinjwa leo

Kuku
Leo
Atachinjwa
Mweupe
Explanation:

9. Tambua sentensi yenye vivumishi cha sifa

Paka huyu ni wa jirani
Mwanafunzi mwerevu ametunukiwa zawadi
Watoto hawa ni wangu
Mwalimu yule ni wetu
Explanation:

10. Tambua vivumishi cha sifa

Yetu
Mimi
Yule
Hodari
Explanation: