1. Mini maana ya silabi
Ni sauti mbalimbali
Tamko kamili la sauti
Aina ya vitanza ndimi
Aina za maneno
2. Sentensi zenye mfuato wa sauti zinazotatanisha kimatamshi huitwaje?
Misamiati
Vitanza ndimi
Tanakali za sauti
Silabi
3. Tambua sauti zinazotatanisha
M/n
a/u
F/b
d/nd
4. Taja maneno yenye sauti tatanishi
Mama/ baba
We we/mimi
Kalamu/ kitabu
Adabu! Adhabu
5. Tambua mfano wa silabi
Mama
Nj
Mimi
Ng'aa
6. Tambua kitanza ndimi kari ya sentensi hizi
Mwalimu ameingia darasani
Mbwa koko mwenye njaa alienda kwenye jaa lililokuwa limejaa
Waaichana hawa ni warembo
Kesho tutakwenda shuleni
7. Chagua vitanza ndimi
Kalamu ya mwalimu imeangika pipani
Jogoo aliwika alipomwona njongoo
Mimi ni mwanafunzi hodari
Mwalimu wetu hufunza kwa ufasaha
8. Ni sentensi gani ambayo haina maneno tatanishi?
Nyumba yetu ina milango miwili
Haba na haba hujaza kubaba
Alipokuwa katika njozi aliota akitunukiwa jozi viatu
Mama alitumia njugu kupikia njugu
9. Uda sentensi moja yenye maneno tatanishi
Mwalimu alipomaliza kuguza alienda shambani kulima
Mama alitupikia chakule kitamu
Mtoto mchanga alililia tunda ila lilikuwa kali
Mwanafuzi alipewa adhabu na mwalimu baada ya kukosa adabu
10. Tambua silabi zisizo na utatanishi
Ng/v
P/t
F/v
Ng'/ ng
11. Tambua methali yenye vitanza ndimi
Mtoto akililia wembe mpe
Dalili ya mvua ni mawingu
Asiyeskia la mkuu huvunjika guu
Haba na haba hujaza kibaba
12. Tambua silazi zenye sauti tatanishi
dh/th
a/u
g/j
u/o
13. Jaza sentensi kwa kutumia silabi sahihi;
Mama ame____ kuni
jaja
chanja
shaja
changa
14. Jaza pengo kwa silabi sahihi.
Nimetembea sana mpaka nime___
joka
choka
shoka
njoka
15. Jaza pengo kwa silabi sahihi.
Mwalimu alim_____mwanafunzi mtukutu
dharirisha
dalilisha
dhalilisha
thalilisha
16. Gari lili___ nanga
noa
ngoa
goa
ng'oa
17. Umati mkubwa uli____ raisi aliposimama
changilia
jangilia
shangilia
shangiria
18. Alichora picha ya ___ vya mwili
vifungo
fiungo
viungo
viugo
19. Mtoto ali____ ugonjwa hatari
ugua
ungua
agua
angua
20. Kulikuwemo na ____ la corona
njaga
janga
jaga
njanga