Grade 6 Kiswahili – Vivumishi Viashiria Quiz

1. Aina ya kivumishi vinavyoonyesha mahali nomino ipo huitwaje?

Kivumishi viashiria
Kivumishi vielekezi
Kivumishi vya mahali
Kivumishi visisitizi
Explanation:

2. Tambua kivumishi kiashiria

Nyingi
Ndefu
Yule
Change
Explanation:

3. Tumia kivumishi kiashiria kinachofaa; Kalamu___ni yangu

Hii
Hili
Yule
Huu
Explanation:

4. Tumia kivumishi kiashiria kinachofaa ; Mwanafunzi ___hodari ametunzwa

Hii
Wangu
Yule
Ule
Explanation:

5. Tambua kivumishi kiashiria Kitabu Niko cheuoe kimesomwa

Kimesomwa
Kitabu
Hiki
Cheupe
Explanation:

6. Jaza pengo; Mkoba ___ mwekundu umeraruka

Huu
Huyu
Yule
Huyo
Explanation:

7. Nini wingi wa kivumishi "Haya"?

Huu
Hizi
Hii
Haya
Explanation:

8. Jaza pengo; Wezi___walikamatwa

Hao
Hawo
Wao
Huo
Explanation:

9. Jaza pengo; Kisu__ni kikali

Hiki
Hichi
Hii
Hiyo
Explanation:

10. Chagua vivumishi vishiria kati ya maneno haya:

Yule
Nyumba
Kalamu
Mti
Explanation:

'Yote' ni mfano wa vivumishi vya shiria vinavyoonyesha kitu ambacho ni kamili au kikamilifu.