Grade 2 Kiswahili – Msamiati wa shuleni Quiz

1. Tumia 'ako' au 'enu' kujaza pengo Kitabu ___

Zenu
Chako
enu
wangu
Explanation:

2. Tumia 'ako' au 'enu' kujaza pengo. Mkono ___ unauma

Yangu
Chetu
yenu
Wangu
Explanation:

3. Tumia 'ako' au 'enu' kujaza pengo. Kiatu ___ ni kizuri

yako
Chenu
Yenu
Chako
Explanation:

4. Tumia 'ako' au 'enu' kujaza pengo. Shule ___ linapendeza

lenu
chenu
yano
yenu
Explanation:

5. Tumia 'ako' au 'enu' kujaza pengo Mama ___ amafika shuleni

yako
wenu
wako
chako
Explanation:

6. Tumia 'ako' au 'enu' kujaza pengo Kalamu ___ imepotea

chako
yenu
Yako
chenu
Explanation:

7. Tumia 'ako' au 'enu' kujaza pengo Mwalimu ___ anakuja

yenu
wenu
zenu
yako
Explanation:

8. Tumia 'ako' au 'enu' kujaza pengo Mkufu ___ umekatika

zenu
wenu
wako
chenu
Explanation:

9. Tumia 'ako' au 'enu' kujaza pengo Motto ___ ni mchanga

yenu
chenu
wenu
zenu
Explanation:

10. Inapatikana shuleni

Darasa
Sembuleni
Kanisa
Chumba cha kulala
Explanation:

11. Kitu ambacho mwanafunzi anakalia kinajulikana kama

Kabati
Dawati
Sofaset
Meza
Explanation:

12. Inatumiwa na mwanafunzi kupiga mstari kwenye daftari

Kijiti
Rula
Kalamu
Mti
Explanation:

13. Inatumika kujulisha wakati shuleni

Darasa
Dawati
Meza
Kengele
Explanation:

14. Tunafanyia masimovyetu katika

Nyumba
Darasa
Kanisa
Soko
Explanation:

15. ___ ndiye analinda shule yetu

Mwanafunzi
Mzazi
Mwalimu mkuu
Mlinzi
Explanation:

16. Tunachezea mpira kwenye

Nyumba
Gwaride
Uwanja
Darasa
Explanation:

17. ___ ikilia tunakimbia darasabi

Bendera
Mtoto
Mwalimu
Kengele
Explanation:

18. Mwanafunzi akikosa nidhamu anapelekwa kwa ofisi ya

Mwalimu mkuu
Mzazi
Mhubiri
Mlinzi
Explanation:

19. Shule yetu ina __ mengi

Maji
madarasa
Wanafunzi
makanisa
Explanation:

20. Ni nini maana ya kalamu?

Mashati
Kitabu
Chombo cha kuandikia
Rula
Explanation:

Kalamu ni chombo cha kuandikia au kuchora.

21. Nini maana ya ubao?

Kiti
Sehemu ya kuandikia
Nyoka
Gari
Explanation:

Ubao ni sehemu ambayo inaweza kutumika kwa ajili ya kuandikia kwa kutumia chaki.

22. Turudi shuleni, maana yake ni nini?

Kwenda shuleni
Kwenda barabarani
Kula chakula
Kucheza nyumbani
Explanation:

Turudi shuleni inamaanisha kurejea tena katika mazingira ya shule kwa masomo au shughuli zingine za shuleni.

23. Nini hufanya katika darasa la Kiswahili?

Kusoma
Kula
Kucheza mpira
Kucheza
Explanation:

Katika darasa la Kiswahili, wanafunzi hujifunza kusoma na kuandika Kiswahili.

24. Nini maana ya meza?

Sehemu ya kuweka vitu darasani
Kofia
Gari
Mbwa
Explanation:

Meza ni sehemu ambayo hutumika kuweka vitabu, kalamu, na vifaa vingine darasani.

25. Kwa nini unapohitaji kuandika unatumia kalamu au penseli?

Kufunga kamba
Kupiga picha
Kuandika kwenye karatasi au ubao
Kutengeneza keki
Explanation:

Kalamu au penseli hutumika kwa ajili ya kuandika kwenye karatasi au ubao wakati wa kufanya kazi au kupata maelezo.

26. Nini huvaliwa miguuni wakati wa kwenda shuleni?

Sungura
Viatu
Chaku
Nguo za kuogelea
Explanation:

Wakati wa kwenda shuleni, watoto huvalia viatu kwa ajili ya kulinda miguu yao na kwa usalama.

27. Unapotaka kusoma kitabu, unatumia kifaa gani?

Gari moshi
Simu
Gari
Kitabu
Explanation:

Kifaa kinachotumika kusoma kitabu ni kitabu lenyewe ambalo lina kurasa na maudhui ya kusoma.

28. Unapohitaji kufuta kitu ulichoandika unatumia chombo gani?

Kalamu
Sikio
Ruba
Gari
Explanation:

Unapohitaji kufuta kitu ulichoandika unatumia ruba ambayo hufutia makosa yaliyoandikwa kwenye karatasi.

29. Ajenda ni nini darasani?

Chombo cha kufutia
Orodha ya mambo ya kufanya
Wachezaji
Nakala
Explanation:

Ajenda darasani ni orodha ya mambo ya kufanya kama kazi au shughuli za kufanya katika siku husika.