Grade 2 Kiswahili – Mifano ta vitenzi Quiz

1. Maneno yanayosimamia vitendo huitwa

Vimilikishi
Vitenzi
Nomino
Vitendo
Explanation:

2. Tambua Kitenzi

kiti
nyumba
kula
kibuyu
Explanation:

3. Andika kitenzi vizuri Racho

Racho
orcha
Chora
Charo
Explanation:

4. Andika Kitenzi vizuri Zache

Cheza
zchea
chaze
zecha
Explanation:

5. Andika Kitenzi vizuri Laku

laku
luka
kalu
Kula
Explanation:

6. Andika Kitenzi vizuri Maso

samo
mosa
smoa
Soma
Explanation:

7. Panga Maneno vizuri. Analia mtoto sana

Mtoto analia sana
analia mtoto sana
Mtoto sana analia
sana mtoto analia
Explanation:

8. Panga Maneno vizuri Anaandika baba barua

Baba barua anaanfika
Anaandika barua baba
Baba anaandika barua
Barua anaandika baba
Explanation:

9. Panga Maneno vizuri. Anakula mama chakula

Chakula anakula mama
Mama Chakula anakula
Mama anakula chakula
Anakula Chakula mama
Explanation:

10. Jaza pengo. Kamau na rafiki yake___ mpira

Wanaimba
wanacheza
wanasoma
wanakula
Explanation:

11. Jaza pengo; Maria na Juma ____ kwa barabara

Wanatembea
wanakula
Wanapika
Wanakimbia
Explanation:

12. Jaza Pengo. Mama na shangazi ___ Chakula jikoni

wanatembea
wanacheza
wanapika
wanaimba
Explanation:

13. Tambua kitenzi; Mama anapika chakuka kitamu

chakula
kitamu
Anapika
Mama
Explanation:

14. Tambua kitenzi: Walimu wote wamefika shuleni

Walimu
Wamefika
Shuleni
Wote
Explanation:

15. Tambua kitenzi: Wanafunzi wote walisoma vizuri

Walisoma
vizuri
wote
Wanafunzi
Explanation:

16. Tsmbus kitenzi: Alikimbia kwa Kasi sana

kasi
sana
Alikimbia
kwa
Explanation:

17. Tambua Kitenzi: Ndege huyu anaimba vizuri

Anaimba
Ndege
Vizuri
Huyu
Explanation:

18. Tambua kitenzi; Watu wote wamekula chakula

Wamekula
chakula
wote
watu
Explanation:

19. Andika kwa Wingi. Amekimbia

walikimbia
Limekimbia
Tumekimbia
Wamekimbia
Explanation:

20. Kitenzi cha nomino mwizi ni

imba
iba
wizi
izi
Explanation:

21. Kitebzu cha neno Mwimbaji ni

uimbaji
imba
wimbo
kuimba
Explanation:

22. Kama ame____ simu

pigia
piga
pigika
pigwa
Explanation:

23. Chagua kitenzi imara kati ya hapo chini:

kufanya
kulala
kwenda
kushona
Explanation:

Kitenzi 'kupika' ni imara kwa sababu kinaeleza kitendo cha kuandaa chakula kwa matumizi kwa kupitia hatua za kuchemsha au kukaanga.

24. Chagua kitenzi imara kati ya hapo chini:

kula
kucheza
kupunguza
kukimbia
Explanation:

Kitenzi 'kupika' ni imara kwa sababu kinaeleza kitendo cha kuandaa chakula kwa matumizi kwa kupitia hatua za kuchemsha au kukaanga.

25. Chagua kitenzi imara kati ya hapo chini:

kufundisha
kuleta
kupumzika
kupika
Explanation:

Kitenzi 'kupika' ni imara kwa sababu kinaeleza kitendo cha kuandaa chakula kwa matumizi kwa kupitia hatua za kuchemsha au kukaanga.

26. Chagua kitenzi imara kati ya hapo chini:

kunywa
kuogelea
kusoma
kulia
Explanation:

Kitenzi 'kupika' ni imara kwa sababu kinaeleza kitendo cha kuandaa chakula kwa matumizi kwa kupitia hatua za kuchemsha au kukaanga.

27. Chagua kitenzi imara kati ya hapo chini:

kupanda
kukaa
kushiriki
kuanguka
Explanation:

Kitenzi 'kupika' ni imara kwa sababu kinaeleza kitendo cha kuandaa chakula kwa matumizi kwa kupitia hatua za kuchemsha au kukaanga.

28. Chagua kitenzi imara kati ya hapo chini:

kucheza
kukaa
kukua
kupiga
Explanation:

Kitenzi 'kupika' ni imara kwa sababu kinaeleza kitendo cha kuandaa chakula kwa matumizi kwa kupitia hatua za kuchemsha au kukaanga.

29. Chagua kitenzi imara kati ya hapo chini:

kusafisha
kumwaga
kuuza
kuita
Explanation:

Kitenzi 'kupika' ni imara kwa sababu kinaeleza kitendo cha kuandaa chakula kwa matumizi kwa kupitia hatua za kuchemsha au kukaanga.

30. Chagua kitenzi imara kati ya hapo chini:

kupakua
kupunguza
kula
kushinda
Explanation:

Kitenzi 'kupika' ni imara kwa sababu kinaeleza kitendo cha kuandaa chakula kwa matumizi kwa kupitia hatua za kuchemsha au kukaanga.

31. Chagua kitenzi imara kati ya hapo chini:

kunawa
kwimbilia
kutafuta
kuharibu
Explanation:

Kitenzi 'kupika' ni imara kwa sababu kinaeleza kitendo cha kuandaa chakula kwa matumizi kwa kupitia hatua za kuchemsha au kukaanga.

32. Chagua kitenzi imara kati ya hapo chini:

kupika
kuhisi
kudanganya
kwenda
Explanation:

Kitenzi 'kupika' ni imara kwa sababu kinaeleza kitendo cha kuandaa chakula kwa matumizi kwa kupitia hatua za kuchemsha au kukaanga.